WizKid - Come Closer ft. Drake


Unaikumbuka "One Dance" ya Drake ambayo ndani yake aliwapa mashavu mrembo Kaylah na Mnigeria Wizkid?, Sasa piga chini hiyo mambo kubaki kwenye mawazo yako huenda projets ziliishia hapo, Habri nzuri kwa mashabiki wa wakali hawa ni kwamba Wizkid amejibu mashambulizi kwa kumuingiza mnyamwezi kwenye hii ngoma ambayo mapema mwezi Januari ilivuja kwa jina la "Hush Up The Silence", Unyama umeongezwa ndani na chupa tayari limefanyika final mzigo umepewa jina "Come Closer", Fanya kujisogeza kwenye hii video hapa chini uenjoy nayo.

No comments

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.