Upo Dar Es Salaam,Unapenda #Shopping Za Bei Rahisi?, Imiliki Wikiendi Hii Na #VunjaBeiExpoWikiendi Hii Itaenda Kuwa Poa Sana Kwa Wakazi Wa Jiji La Dar Es Salaam Na Vitongoji Vyake Kwani Ule Mpango Wa Bidhaa Kuuzwa Kwa Bei Nafuu Zaidi Umewadia Tena.


 Unaambiwa zile #Shopping Za Mapesa Mengi Marufuku WeekEnd Hii.  Ndio Ni Mwendo Wa Kuvunja Bei Tu, Kuanzia Ijumaa Ijumaa Ya Juni 2 Mpaka Jumapili Juni 4 Pale Viwanja Vya Posta Kijitonyama (Sayansi), Kwa Siku Zote Utakua Na Jeuri Ya Kufanya Shopping Bila Kuuliza Maana Kila Utakachoshika Kitakua Kimevunjwa Bei.

 Mwambie Mwenzio, Awaambie Wenzake Wawashtue Washikaji, Tukutane Kwenye #VunjaBeiExpo #PostaKijitonyama 

Wacheki     @VunjaBeiExpo Kwenye Instagram.


No comments