Adam Mchomvu - ShughuliOi Washikaji Zake #BabaJohnii hii si ndio ile ahadi Dingili ake John aliahidi kudondosha ikifika Jumanne ya 16'May, Ok Ok Ok, The wait is over Adam Mchomvu ameamua kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuachia hii "Shughuli. Ni midundo ya Trap iliyosukwa na Producers Ras Don & Bear (Kiri Records) ndio imehusika ndani ni noma hii kitu.Bonyeza Hapa Kudownload Shughuli.Angalia Balaa La Shilole Na Adam Mchomvu Hapa, Ni Noma:

No comments