Cassper Nyovest - Tutho (Download Full Albamu)


May 5, 2017 rapa Cassper Nyovest ameingia kwenye orodha ya wanamuziki waliothubutu kuuanza mwaka kwa kutambulisha albamu, Tutho inazifanya idadi za Albamu za rapa huyo kufikia 3. Kama bado haujaipata unaweza kuicheki kupitia mkito.com na plattforms nyingine za muziki. Hii hapa chini ni "Push Through The Pain" DOWNLOAD HAPA" Kabla ya kuachia Albamu "Tutho" leo hii Cassper bado anasherehekea mapokezi mazuri aliyoyapata kwenye wimbo wake "Tito Mboweni" aliouachia mapema mwezi Machi mwaka huu. Titto Mboweni imeendelea kufanya poa miongoni mwa ngoma za rap Kiafrika.


Unaweza kuisikiliza hapa Albamu nzima yenye jumla ya ngoma 16: 


No comments

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.