Reekado Banks - Move Ft. Vanessa Mdee ( Official Music Video )

Anaitwa Reekado Banks moja kati ya vichwa hatari ndani ya "Mavin Record" ya mtu mzima DonJazzy, Reekado Banks aliachia albamu yake ya kwanza "Spot Light" mwishoni mwa mwaka jana na moja kati ya ngoma zinazopatikana kwenye albamu hiyo ni hii "MOVE" ambayo tanzanian finest "Vee Money" amepata shavu.

 Enjoy Nayo:


 

Reekado Banks - Move Ft. Vanessa Mdee. Produced by Altims. Get the song off the Spotlight album at SpotLightTheAlbum

No comments