Video | @DonaldInDenial - Rain Drop Ft. @TiwaSavageRain Drops ni mojawapo ya nyimbo zinaopatikana kwenye "Something More", Albamu ya 4 ya Donald ambayo iliingizwa sokoni May 19 mwaka huu ikiwa na jumla ya ngoma 8. Kwenye Rain Drops Donald ameshirikiana na FirstLady wa Mavin Record Tiwa Savage,

Enjoy:

 
DOWNLOAD RAIN DROPs.

No comments