Video | Wabongo Walivyovyaa kizamani Party Ya SallamPublished on May 12, 2017:
Meneja wa WCB Sallam amesherehekea birthday yake Dar es salaam kwa kuangusha party ambayo ili uruhusiwe kuingia lazima uwe umevaa nguo ambazo ndio zilikua zinatamba kwenye fashion ya miaka ya 90.


No comments

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.