Video | 2 Chainz - Sleep When U Die


Rapa 2 Chainz ameingiza mzigo (Albamu) mpya sokoni ikiwa na shehena ya ngoma zipatazo 16, Waimbaji na rapas kibao wamekula mashavu kila mmoja kwa wakati wao, Baadhi yao waliokinukisha kwenye Albamu hiyo "Pretty Girls Like Trap Music" ni pamoja na Gucci Mane, Nicki Minaj, SwaeLee, Migos, Trey Songz n.k.

Miongoni mwa ngoma zilizopata fursa ya kulifungua pazia la video ni Blue Chees Ft Migos na hii "Sleep When U Die"

Enjoy Nayo Hapa: