Flavour - Loose Guard Ft. PhynoKatika kupekua nyimbo za kwenye albamu yake mpya "Ileje" nimekutana na hii ya Flavour akijaribu kutuonyesha uwezo wake linapokuja suala la kutumia lugha. Kweye "Loose Guard" Flavour ametumia lugha mbili kwenye kila lines za verse zote mbili na kuua kwa outro ya maana.

Kwenye verse ya tatu Phynofino hajazubaa, Ofcouz ni bonge moja la ngoma si unajua vile Phyno hufanya?, Sio ya kujiuliza mara mbili hii

Loose Guard ni miongoni mwa ngoma zinazopatikana kwenye Albamu yake mpya Mr Flavour "Ijele" ikiwa na maana (The Traveler)

Producer mwenye umri mdogo Nigeria Young John amehusika kwenye mdundo. 

DOWNLOAD HAPA  LOOSE GUARD - FLAVOUR FT PHYNO: