Another One: DJ Khaled - I Can't Even Lie Ft. Future X Nicki Minaj


Huenda Dj Khaled ndie atakua mfalme wa iTunes na AppleMusic mwezi huu, hatua hiyo inakuja kufuatia ujio wa Albamu yake ya kumi "Grateful" iliyokuja na ngoma 23 zenye kolabo za maana zilizopambwa na wanamuziki wakali.

 Kinachoonekana kuwa kivutio zaidi kwenye Albamu hiyo ni ugeni wa Beyonce na Rihana, Kolabo ya Nicki Minaj na Alicia Keys kwa mara nyingine tangu mwaka 2012 ilipotoka "Girls On Fire"

 Licha tu ya kuipamba "Grateful" na mademu wanaofanya poa kwenye Game ya Muziki inaonyesha Dj Khaled alikielewa kilichofanyika kwenye "Do You Mind" pengine ndio sababu ya kuwakutanisha tena Nicki Minaj na Future kwenye "I Can't Even Lie"

Download DJ Khaled - I Can't Even Lie Ft. Future X Nicki Minaj

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.