Uliisikiliza "DAMN" Ya Kendrick Lamar?, Hii Hapa Video Ya Element


Ukizitaja ngoma zilizofanya poa kwenye anga la Hip Hop kwa mwaka huu "Humble" ya Kendrick Lamar haiwezi kukosa kwenye list ya Hip Hop fans walio wengi.
 Lakini Humble haikuja peke yake isipokua tu ilipata heshima ya kuwa video ya kwanza kutoka kwenye "Damn" Albamu ambayo Kendrick Lamar aliidropisha mwezi April mwaka huu ikiwa na jumla ya ngoma 14. Baadae aliachia video DNA na sasa ni wakati wa kuenjoy na hii "Element"

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.