Sahau Kidogo Kuhusu @BET, Mbeya Boy @Rayvanny Anataka Uone Hii


Baada ya kufanya poa na Kijuso aliyoshirikishwa na Qdarleen baadae Zezeta, Rayvanny amerudi tena kwenye kioo chako na safari hii amekuja na "Mbeleko" ambayo Audio yake imeachiwa miezi kadhaa iliyopita. Rayvanny ambae kwa sasa ni baba wa mtoto Jaydanny amekua msanii pekee kutoka East Africa alietajwa kuwania Tuzo Ya BET International Act: Viewers Choice kwa mwaka huu . Unaweza kumpigia kura kwa kutupia picha yake kwenye mitandao ya kijamii ukiiambatanisha na hashtag #iPickRayvanny

RAYVANNY - MBELEKO (OFFICIAL VIDEO)


No comments