Audio | @AlhajiTekno - Samantha


Kama ulikua bado unasikiliza YAWA na BE ambazo ndio ngoma zake za  mwishomwisho unashauriwa kuacha mara moja kwa ajili ya kuyapa masikio yako nafasi ya kusikiliza "Samanta" ngoma mpya kutoka kwa Tekno. Ni Club Banger ambayo inaweza kukufanya ukasahau shida zako kwa muda aisee,

DOWNLOAD AUDIO:

No comments