Full Video: Mapokezi Ya @Rayvanny Baada Ya Kuwasili Na Tuzo Ya BET


Baada ya kuinyakua tuzo ya BET Kipengele cha Best International New Act (Viewers Choice) hatimaye Mbeya Boy Rayvanny amerudi nyumbani Tanzania huku akipokelewa na nyomi la hatari lililoanzia uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K Nyerere mpaka ofisi za WCB Wasafi pande za Sinza Dar Es Salaam, Miongoni mwa walioongoza mapokezi hayo ni Romyjons, Babu Tale, Sallam SK(Mendez) na Diamond Platnumz.

Cheki Hapa Ilivyokua:


Sahau Kidogo Kuhusu @BET, Mbeya Boy @Rayvanny Anataka Uone Hii