Mimi Mars - Dedee (Official Video)Baada ya kufanya poa na ngoma "Shuga" ambayo ndio ilimtambulisha kwenye muziki wa Bongoflava, Mimi Mars amerusha karata yake ya pili kwenye muziki wake. Ngoma inaitwa "Dedee" kwenye mdundo amehusika prodyuza Bob Manecky wa A.M Records Video imetengenezwa na mtu mbaya nyuma ya vioo Director Hanscana, 

Enjoy NAYO HAPA:

 

Download AudioCheki Na Mimi Mars Kwenye Social Networks

FaceBook

Twitter  

Instagram