Mr Blue - Siwezi Ft. Jr (Produced By Man Walter)


Moja kati ya wakali ninaowajua tangu nakua namsikiliza Mr Blue, Binafsi hajawahi kukosea licha ya kuchelewa sana kutoa ngoma lakini akitoa issa hit,

 Mara ya mwisho tumemsikia kwenye Mboga Saba na Ali Kiba, This time blue amerudi na SIWEZI ambao ni wimbo wa Kumsifu na kumshukuru Mungu,  Yeah... Ngoma za kushukuru kama zimekua dili hivi siku za hivi karibuni.

Download "SiWezI" Hapa Halafu Acha Maoni Yako.