Video | Camma Clever - Apeche


Ushawahi kutamani vitu vizuri halafu uwezo wako mdogo?, Haya wanangu wa singeli naomba mniruhusu kumtambulisha kwenu Camma Clever na ngoma yake "Apeche" ngoma fulani hivi za kule uswazi kwetu, Hii ni ya mshikaji anaefeel kuwa kwenye mahusiano na mastaa lakini akiangalia hali zao na yake kuna muda anajishtukia anabaki kulia na utamu wake.

Camma Clever - Apeche (Singeli official music video)

No comments