Video | Matonya - Nifungulie


Matonya anajaribu kututhibitishia ule msemo kama "Ng'ombe hazeeki maini", Bila shaka hiyo ndio inaweza kuwa lugha rahisi ya kukitafsri kitu muimbaji huyo anafanya.

Kama utakua unamfuatilia hii inakua ni ngoma yake ya pili tangu kuanza kwa mwaka huu ikitanguliwa na "Hakijaeleweka" ambayo ilitoka Januari 7 mwaka huu.

Kama jina la wimbo lilivyosema (Haikueleweka) huenda ni kitu kilichopelekea Tonyambili kuachia nyingine, Hii inaitwa "Nifungulie". Chupa Kali kutoka kwenye mikono ya Dir. MIMIZ

Enjoy:

No comments

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.