Video | @NikkWaPili Ft @GNakoWaraWara - Quality TimeBaada ya ukimya mrefu mweusi Nikki Wa Pili amewaonyesha mashabiki wake kilichomfanya apige kimya kwa muda mrefu, Naam, Quality Time ndio kitu mashabiki wa Nikki walikaa kusubiri japo hawakujua jina wala tarehe ambayo  ingefika.Kwenye Quality Time  Mchuga Gnako ameua  Chorus beat ya Chizzan Brain imetendewa haki na Director Hanscana kwa kichupa kikali.
Enjoy Nayo Hapa:

No comments