Wale - My Love (feat. Major Lazer, WizKid, and Dua Lipa) [OFFICIAL LYRIC VIDEO]


Rapa Wale ameachia Lyric video ya ngoma yake "My Love" aliyowashirikisha Major Lazor, Wizkid na mrembo Dua Lipa,
 Miongoni mwa ngoma zinazopendwa sana kipindi hiki, ofcoz sio mbaya kila mwenye nafasi yake ameitumia vizuri, Si unajua Wizkid ni mtu wa kufumua?, Isikilize Humu:

 


Download Wale – My Love ft. Major Lazer, WizKid & Dua Lipa