Diamond Platnumz Hapendagi Utani UnapofIka Msimu Wa Ngoma Kali, Video Ya "Eneka" Inaongea Kila Kitu


Diamond Platnumz hakuwahi kufikiria kulala kila msimu wa ngoma kali unapoingia, But this time around Mtandale huyu anaonekana kukaza zaidi,

 Takribani Wiki mbili zilizopita alidropisha audio na video mbili "I Miss You na Fire ft. Tiwa Savage" na kuahidi kudondosha kolabo ya kimataifa wiki tatu baadae,

Sasa Kabla hajaiachia kolabo hiyo ya kimataifa Mondi ameingiza mtandaoni video ya ngoma mpya "Eneka" ili kwenda sawa na upepo wa ngoma mpya zinazoendelea kuachiwa kila siku,
 Cheki Hapa Muziki Mzuri Kwenye Chupa Moja Ya Kibabe,


 
Kama "Eneka" ISSA bad news, nini kinahappen na hiyo kplabo ya kimataifa?, Unafikiri ni nani kutokea unyamwezini ambae Diamond anajipanga kuachia nae kolabo?, Kwenye headlines wamekua wakitajwa Rick Ross, Rihanna na Chris Brown.
Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.