Future - My Collection


Rappa Future anaendelea kuzishika headlines kenye muziki kwa kukifanya kile ambacho amekua anakifanya, Tangu mwishoni mwa mwaka jana rapa huyo mwene asili ya Atlanta, Georgia amekua akizihesabu tracks kibao halafu sio kuziachia tu kwasababu anakua ameamua hivyo, No Ngoma zinakua hit na harakati nyingine zinaendelea.

 Miongoni mwa ngoma ambazo Future ameziachia kwa mwaka huu ni "Mask Off",  "Extra Love" Ft. Y.G, "Right Now" na "PIE" ambayo  mnyamwezi Chris Brown amehusika,

Usiku wa jana Alhamisi Julai 13 Future ameachia video ya wimbo "My Collection" unaopatikana kwenye Albamu yake 'HNDRX" aliyoiachia Februari mwaka huu.

Enjoy Nayo Hapa:

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.