@ReekadoBanks - Kiss Me (Audio)


Baada ya "MOVE" aliyomshirikisha mrembo wa nyumbani kwetu Vanessa Mdee kufanya vizuri kiasi cha kumtengenezea Fanbase Tanzania na East Afrika, Muimbaji Staa wa Nigeria Reekado Banks  amedropisha audio single ya wimbo wake mpya "Kiss Me".

Kiss me imetengenezwa na Producer Altims wa Mavin Record inayosimamia kazi za Reekadobanks na mastaa wengine kadhaa wakiwemo Iyanya, Tiwa Savage, Korede Bello na wengine kibao.

Kwenye "Kiss Me" Reekado Banks amempa Airtime Dada yetu Vee Money kwa kumtaja kwenye moja ya lines za ngoma hiyo... "My Tanzanian Vanessa" (amekaririwa Reeky).

Unaweza Ku-Enjoy Nayo Hapa:


DOWNLOAD - REEKADO BANKS - KISS ME (MP3)

No comments