Angel Benard - Siteketei

Angel Benard ni muimbaji na mwandishi wa nyimbo za Injili,

Angel Benard anatumia uimbaji wake kama nafasi ya kufikisha ujumbe wa matumaini, ukweli na ushawishi kati ya Binadamu na Mungu.

Safari yake ya muziki ilianza akiwa ni mtoto wa miaka sita tu alipokua akiimbia Kwaya ya Kanisani kwao, 
Mwaka 2006 alianza rasmi kujihusishs na uimbaji,

Siteketei ndio wimbo wake unaofanya poa kwa sasa, Wimbo ambao kila shabiki wa Gospel anatakiwa kuwa nayo kwenye playlist yake.

 Unaweza kuenjoy nayo hapa na ikakuongoza jumapili hii.