Another One: Wild Thoughts Ya DJ Khaled Imekua Platinum Certified


Linapokuja suala la kufanikiwa DJ Khaled anaonyesha vile hakuja kufanya michezo kwenye hili "Game", Licha ya "Grateful" kuwa miongoni mwa Albamu poa kati ya zile zilizoachiwa mwaka huu zali lingine limemdondokea tena mkali huyo wa ngoma "I'm The One".

Jui 16 DJ Khaled aliitambulisha "Wild Thoughts" ngoma ambayo huenda kila utakaemuuliza atakujibu ndio ngoma kubwa kwenye Albamu "Grateful" (Kwa mujibu wa comment mitanadaoni na Airtime kwenye radios). Goodnews kutoka kwa DJ Khaled ngoma hiyo iliyopambwa na vocal la Bryson Tiller pamioja na Badgirlriri {Rihanna) imekua Platinum Certified na kampuni ya RIAA.


Hii sio mara ya kwanza kwa ngoma za DJ Khaleed kuwa Certified kwani ukiachana na angoma nyingine ambazo zimeshakua Certified "I'm The One" ni ngoma ambayo imeendelea kumkusanyia heshima na mashabiki wapya kila siku, Imeshakua Certified mara kadhaa..

No comments