Confirmed! @OmmyDimpoz Amelamba Deal Na Management Kubwa Afrika...Siku mbili baada ya Alikiba kutangazwa kama Mkurugenzi  Kitengo Cha Muziki kwenye kampuni ya "Rockstar4000", Kampuni hiyo imemuongeza mwanamuziki "Ommy Dimpoz" kwenye orodha ya wasanii inaowasimamia.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Omary Faraji Nyembo amethibitisha kujiunga na timu hiyo kwa kuandika


 "My fans! Its official, I’ve signed with the biggest music company in Africa #RockStar4000 as my new management team and with the Premiere Pan African Music Entertainment content & News Channel #RockstarTV!
Check out and subscribe to get more Ommy Dimpoz exclusives on #RockstarTV on the leading Cable & Satellite Broadcast TV channels, on mobile networks in your country or online at:
#PKP_EMPIRE
#SHOOOOSH
#OmmyDimpoz
@TheShoooosh
@RockstarTelevision
@OmmyDimpoz
@Rockstar4000"

 

Tangu kuanza kwake harakati za kutoka kimuziki wengi tulianza kumjua Ommy Dimpoz kupitia "Nai Nai" ngoma ambayo ilimtambulisha kwenye game ya Bongoflava, Kwenye "Nai Nai" Alikiba alikula shavu la kuikamilisha kolabo hiyo kwa kufanya alichokifanya and we all Ali Killed it,
 Ukaribu wa washikaji hao haukuishia kwenye "Nai Nai", Wakali hao waliingia kwenye headlines za Bongoflava tena mara baada ya kuirelease kajiandae moja kati ya ngoma zilizoongelewa sana mwaka jana.

Ommy Dimpoz anaungana na Ali Kiba, Lady Jay Dee na Barakah Da Prince kuiendeleza safari ya RockStar4000'

CHEKI KAJIANDAE HAPA:


Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.