Davido - Pere Ft. Young Thug & Rae Sremmurd


Davido amekua busy akijaribu Kuji-push kwenda International zaidi Kila Linapokuja Suala La Kolabo Kubwa.
Staa Huyo Mnaijeria Ambae Anatarajiwa Kudropisha Albamu Yake Mpya "The Baddest" Ameungana NaYoung Thug, Swae Lee Na Mwenzake Slim Jxmmi wanaounda Kundi La Rae Sremmurd Kwenye "Pere" Ikiwa Na Maana Ya "Mara Moja" (One Time).
DJ Mustard Ndie Amehusika Kunyonga mdundo huu ambao kwa Asilimia Zote Umekuja Kuifunika "Fall" ambayo ndio ngoma Yake Davido Inayoendelea Kufanya Poa.

Mpaka Sasa Fall Imeshaongoza Chart Kadhaa Za Muziki Africa Huku ikiwa Imejikusanyia Zaidi Ya Views Millioni 11 Kwenye mtandao Wa YouTube.
Pere Inakua Kolabo Kubwa Ya 5 Kutoka Kwa Davido Ikiifuatia If Remix Ft. Rkelly, Fine Girl Ya Wale, How Long Ft. Tinashe Na Fans Mi Aliyomshirikisha Rapa Meek Mill.

Kwenye Video demu wake Wiz Khalifa Ameonekana Kama Video Queen Huku Director Sesan Akisimamia Mpango Mzima

No comments

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.