French Montana - A Lie ft. The Weeknd, Max B

Leo Ijumaa, Julai 14 Frenh Montana ameitambulisha albamu yake ya pili Jungle Rules baada ya ahadi za muda mrefu, Jungle Rules imekuja sambamba na video ya wimbo "A Lie" aliyowashirikisha The Weekend na Max B.

Mpango mzima umekua Directed na Spliff TV kwa ushirikiano na  French Montana , Kwenye video ni bata la Wakanada French Montana na Starboy The Weekend pande za New York ndicho kitu kimneonekana kupewa nafasi...

Unaweza Kuicheki Hapa:

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.