Happy Birthday @AyTanzania


Ambwene Allen Yessaya, Maarufu Kama @AyTanzania, Alizaliwa Julai 05, 1981 Huko #Mtwara.Mwaka #1996 AY Alianza Harakati Zake Za Kimuziki Na Kundi Lililokua Likiitwa S.O.G.

Mwaka #2002 AY Alianza Kufanya Kazi Kama Msanii Binafsi ( asiekuwa Na Kundi). AY Anatajwa Miongoni Mwa Wasanii Wa Kwanza Kabisa Kuufanya Muziki Wa Bongo Kwenda #International. Aliwahi Kuwa Memba Wa Kundi La #EastCoastTeam Alikokua Ameungana Na King #CrazyGK, O-Ten, #LadyJayDee #PaulineZongo Na Wengine Wengi.

AY ameendelea Kufanya ngoma zake binafsi Na Zile Za Kushirikiana Huku Hits Kibao Akishirikiana Na Memba Mwenzake Wa #EastCoastTeam @MwanaFA.

AY Amewahi Kutajwa Kwenye Tuzo Mbwalimbali Za Ndani Na Nje Kama #CHOMVA #KTMA #KORA #KISIMA #MAMA Huku Akishinda Miongoni Mwa Zilizotajwa Hapo.

#Wikipedia

Leo Julai 5, 2017 Rapa AY Ametimiza Umri Wa Miaka 36.
#HappyBirthday Brother..