Hutakiwi Kuikosa Hii Ya Quavo Na Travis Scot
Travis Scott na Quavo wameonekana kuungana kwa mara nyingine kwa ajili ya project mpya,

Kitendo cha kutupia picha ya wawili hao wakiwa studio kimeatfsriwa kama ni shavua ambalo Travis Scot amepata kutoka kwa memba huyo wa kundi la Migos ili kukamilisha Albamu ambayo Rapa Travis Scot amekua akiifanyia kazi kwa muda sasa.


A post shared by flame (@travisscott) on
 
Haijatangazwa siku maalum ya kuachiwa wala Tracklist yake bado haijawekwa hadharani lakini Travis amekua akigusia mara kwa mara.

Travis Scot na Quavo wameshakutana kwenye ngoma kibao zikiwemo 
Pick Up The Phone ya Young Thug, 
Go Off ya Lil Uzi,
Portland ya Drake, 
Champions ya Kanye na Ooh My Diss ya kwake Travis.
Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.