Joh Makini Ft Davido - Kata Leta (Official Music Video)

Wewe ni mmoja kati ya wale Bongofleva Fans ulisikia kuhusu ngoma ya Joh Makini aliyomshirikisha Mnigeria Davido?,

 Umepita muda mrefu sasa bila ya kuwepo ishara ya uhai wa ngoma hiyo ambayo imekua ikiongelewa kwenye vyombo mbali mbali vya habari.

Goodnews kutoka kwa Joh Makini ni kwamba mzigo upo tayari kwa jina la "Kata Leta" na kuanzia usiku wa jana umeanza kusambaa mtandaoni, Bonge la video na mashairi ya kibabe kutoka kwa Joh Na Davido...

Enjoy Nayo Hapa:

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.