Kama Haujaipata Eneka Ya Diamond Platnumz Ipo Hapa.
When I Say I Love You, Believe me Is True,

Yeah, Hivyo Ndivyo Mondi Bin Awards Ameanza Kwenye Ngoma Yake Mpya "Eneka" Inayosambaa Kwa Kasi Ya Kiherehere Kwenye Mitandao Mbalimbali Ndani Na Nje Ya Bongo...


Kitu ambacho Diamond Platnumz Anajaribu kukikwepa Humu Ni Misingi Ya Bongoflava, Fleva Ya Naija Imeonekana Kushika Nafasi Kwenye Ngoma Hii.


Licha Ya Kutumia Fleva Ya Naija Atleast Sasa Zile Lugha Za Kinyamwezi Zinasikika Kwenye Mdomo Wa Mondi Ukifananisha Na Rekodi Za  Nyuma Kama "Bam Bam" Ft Iyanya Na "Make Me Sing" Ambayo Rapa A.K.A Mwenye Asili Ya Afrika Kusini Alilamba Shavu La Kutisha Kwenye Verse Ya Kinyamwezi.


Nafikiri Kitendo Cha Diamond Platnumz Kuachia ngoma Bila Mpangilio Kinaweza Kuonekana Kama Kuwabania Wengine Wasiwepo Kwenye Mzunguko Wa Wale Artist Wanaosilikilizwa Kwa Muda Muafaka, Ukweli Anachokifanya Diamond Ni Kujaribu Kuwafanya Wanamuziki Wengine Kuamka Na Kukifanya Ambacho Mwenzao Amekua Akikifanya Kwa Muda Sasa.


Either "Eneka" Ni Jina Lake Mtoto Mzuri Ambae Anasifiwa Kwenye Hii Beat Ya Laizer Au Ni Neno Ambalo Mwenyewe Simba Ameamua Kulitumia ili Kufikisha Ujumbe #MP3Magazine Ingependa Kutoa Pongezi Kwaenye Hii Bonge Moja Ya Ngoma Ambayo Kila Mtu Anatakiwa Awe Nayo Kwenye #Playlist Yake Imani Yangu Mnajua Vile Producer Laizer Huzitendea Haki Kazi Zake. "Eneka" Issa hit.

DOWNLOAD

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.