Kifo Cha Ivan Chaendelea Kumtesa Zari, Angalia Alichokifanya Hapa..Zarithebosslady amezua utata baada ya kuonekama amekaa juu ya kaburi la aliyekuwa mume wake wa kitambo – Ivan Ssemwanga.

Ivan alifariki mwezi wa tano akiwa Afrika Kusini alipokuwa akipata matibabu, Ivan alizikwa kwao Kayunga, nchini Uganda.

Hatua ya Mama Tee kukaa kwenye kaburi la Ivan imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii kwani kuna wale wanasema Zari hamuheshimu mwenza wake.


ray_officially: sasa huyu cameraman/women ulimwambiaje twende kwenye kaburi la ivan unipige picha au ulimuambiaje jaman@zarithebosslady

wisdomnelsonsalome: Jamani, kila mtu anastaili yake ya kuishi, unaweza ukawa na pesa lakini ukatumia kwa akili, wengine wakipata pesa anawaza kubadili nguo na mikoba, msimuhukumu mtu kwakile alicho penda. Wingine kutwaa kwenye majumba ya kupanga afu unamdc mwenzio kwann analife style ile ile, mwacheni boss Lady afanye anachopenda, mbona ninyi

homa_ya_jiji__: Daa hii picha inaujumbe mpana sana

dianamtenga: Wabongo wanafki jmn..watu huwatunaenda kuzika makaburini nawatu wa nakaa juu yamakaburi mara kibao..ila leo amekaa zari bc nizambi
Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.