Kodak Black – Just A Wrap Freestyle


Julai 4, Kila mwaka Marekani husherehekea siku yake ya Uhuru wake, Katika kusherehekea Uhuru wake baada ya ukimya wa muda mrefu tangu awe huru kutoka jela rapa Kodak Black amedroipisha hii FreeStyle yake "Just A Wrap" ambayo Kodak amekaliliwa akisema inakuja kusafisha njia ya Album yake ambayo itakua droped soon.


DOWNLOAD "Just A Wrap" Freestyle"