Kwa Mujibu Wa @MkitoDotCom, Hizi Ni Ngoma Kubwa Bongoflevani Wiki Hii


Mtandao unaofanya biashara ya uuzwaji na ununuaji wa muziki, Mkito umezitoa orodha ya ngoma tano zinazofanya vizuri zaidi kwenye bongoflava kwa kipindi hiki ambacho ngoma nyingi kali zaidi zimeachiwa kutoka wiki ya mwisho ya mwezi Juni.

Orodha Ya Ngoma Zote Iko Hapa:


Nafasi Ya Kwaza anaishikilia Vanessa Mdee na ngoma yake mpya #Kisela, Lameck Ditto na Atabadilika yuko nafasi ya pili, Nafasi ya tatu ni Darassa na #HasaraRoho, Kolabo ya Stamina Na Maua Sama imeshika namba 4 huku "Tunafanana" ya Barnaba ikifunga list ya ngoma tano zinazofanya vizuri.
Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.