Linex - Got Me (Produced By: Ton Drizzy)Baada ya ukimya wa takribani mwaka mzima kwenye muziki hatimaye muimbaji Linex amedropisha mzigo mpya, "Got Me" ambayo Producer Tony Drizzy ameonyesha uwezo wake wa kucheza na touches za Dancehall.


Mapema Leo kwenye XXL ya Clouds FM alipokua akiitambulisha ngoma hiyo Linex amethibitisha kushuka kimuziki kutokana na kuwa na mambo mengi binafsi na ya kifamilia, likiwemo la kuwa baba wa mtoto mmoja sasa..
  Linex amekanusha tetesi kuhusu uvumi wa kutoka kimapenzi na Amber Lulu.. 


Kwenye kauli nyingine muimbaji huyo wa hitsong kama "Aifora" na "Mama Halima" amewataka wanamuziki wasiotoa ngoma mpya kutowatupia lawama watangazaji na madj kwa kutokucheza ngoma zao.

Download "Got Me" MP3

 
 
DOWNLOAD: Linex  "Got Me" MP3

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.