Madiliko Ya Rapa Wale Yanaanzia Kwenye Muonekano Cheki Alichokifanya Hapa


Rapa Wale ameutumia ukurasawake wa Instagram kuziweka wazi hisia zake kwa kukitaja kile anachokiita mabadiliko.

Siku ya Jumatatu Mmarekani huyo mwenye asili ya Nigeria alipost picha inayomuonyesha kinyozi akizikata nywele zake ambazo zimekua zikimtengenezea muonekano uliozoeleka


Picha hiyo pekee haikutosha kuelezea mabadiliko ambayo wale alimaanisha, bali "Caption" ambayo aliitumia  ndiyo ilithibitisha hilo.

  "Man nimekua nikikipenda ninachokifanya lakini nafahamu kama nahitajika kufanya mabadiliko... Nitafute Furaha Yangu, Nadhani hiyo inaweza kuwa salama zaidi??, Nitawaacha kwa muda.... hata rafiki zangu @issarae na @renaldowilliams wameniambia ni muda wa mabadiliko......🔵🌙" ameandika Wale.

No comments

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.