Mtoto Wa Nyoka Ni Nyoka, Cheki Blue Ivy Alivyoonyesha Uwezo Wake Kwenye Muziki


Kitendo cha mtoto kuzaliwa kwenye familia inayofanya muziki halafu na yeye akafanya muziki hakiwezi kuwa kitu cha ajabu kwa wanaofuatilia muziki ajabu inakuja pale mtoto mdogo anapofanya kitu kikubwa ambacho watu hawakutegemea.

 Ni wiki moja sasa imepita tangu Rapa Jay-Z alipoidondosha Albamu yake ya 13 "4:44", Jana kupitia mitandao ya kijamii ilisambaa "Clip" ya mtoto "Blue Ivy" mwenye umri wa miaka mitano akitiririka na freestyle ya nguvu kwenye moja ya Bonus Track zilizoachiwa kutoka kwenye Album ya baba yake.

MSIKILIZE HAPA:

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.