@Nahreel: Tulinyimwa Bendera Ya Tanzania Ikabidi Tukanunue South Africa


Wakati Navykenzo wakiitmbulisha mchagamchaga ya Rosa Ree, producer na msanii anaeunda Kundi la Navykenzo "Nahreel" aliiambia XXL ya CloudsFM jinsi ambavyo Serikali ya Tanzania iliwanyima Bendera ya Taifa hivyo kulazimika kwenda kuinunua nchini Afrika Kusini.

 

No comments