New Music | Coyo - Itakucost

Miezi mitatu baada ya kutoa single yake ya "ZIWAFIKIE", msanii kutoka Mwanza, COYO ameachia wimbo wake mpya "ITAKUCOST", ulioandaliwa na producer DayDream wa studio ya Over The Classic ya Mwanza na Kid Bway wa Tetemesha. 

Video ya wimbo huo iliyotoka pamoja na audio imeongozwa na Director Destro katika studio za Wanene.

DOWNLOAD "COYO - ITAKUCOAST MP3"