Picha | Drake Amechora Tattoo Ya Lil Wayne Kwenye Mkono Wake Wa Kushoto


Ni Shabiki mkubwa wa Lil Wayne, Na hiyo ndio sababu kubwa iliyofanya Drake kuichora sura ya mkali huyo wa Lolpop kwenye mkono wake wa kushoto.


Lakini hii haiwezi kuwa mara ya kwanza kwa rappa Drake kujichora Tattoo yenye sura ya mtu kenye mwili wake aliwahi kuonekana na Tattoo za wanamuziki wengine wakiwemo Sade na  Marehemu Aaliyah, 

Wengine ambao Drake amewaweka kwenye ngozi yake katika mfumo wa Tattoo ni Uncle, Baba na Bibi Yake.

 Inatajwa mwaka jana 2016 wakati anatoka kimapenzi na Rihanna rapa huyo alichora tatoo ya Badgirl Riri ambayo aliifuta mwezi mmoja baada ya kupigana chini.

No comments