Picha | Utapenda Muonekano Wa Huyu Mrembo Kwenye Brand Ya @AfricanBoyJUX


Ukisikia neno AfricanBoy moja kwa moja jina la Juma  Mussa Mbongofleva Jux ndilo litakuijia kwa haraka kwenye ufahamu wako right?

Jux ambae kwa muda sasa amekua akiwekeza nguvu nyingi kwenye kuendeleza na kuikuza brand yake ya mavazi "African Boy" ambayo imekua moja kati ya machaka ya town yanayotembelewa na wajanja wapoaji.

Kupitia ukurasa wake wa twiiter @AfricanBoyJUX ametupia picha kadhaa zikimuonyesha model wa kizungu aliyetupia mikato ya #AfricanBoy.

Kwa picha kali kama hizo ni ishara tosha "African Boy" issa badnews kwa sasa au vipi?, anyway either hii ni project (video) mpya ya Jux lakini huyo mtoto ni mzuri.

No comments

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.