Puff Daddy – Watcha Gon’ Do Ft Biggie & Rick Ross


Ijumaa iliyopita Rapa Diddy aliutangaza ujio wa ngoma yake mpya Watcha Gon' Do?

Hata hivyo Diddy hakua ametoa maelezo ya kutosha kuhusu ngoma hiyo aliyowashirikisha Rick Ross na marehemu Biggie, 

Miongoni mwa maswali ambayo mashabiki wangejiuliza ni aina gani ya verse za Biggie ambazo zingetumika kwenye ngoma hiyo ambayo inaachiwa miak 20 baada ya kifo chake, either ni zile za kutoka kwenye projectm zake za zamani au kulikua na vitu spesho vimefungiwa stoo kwa muda mrefu.

Finally mzigo umeachiwa, Unaweza ku-download/Kusikiliza Hapa Chini...


DOWNLOAD Puff Daddy – Watcha Gon’ Do Ft Biggie & Rick Ross
Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.