Olamide - Summer Boy Ft DavidoTakribani wiki mbili zimepita tangu washikaji hawa wanaowakilisha Kipande cha Nigeria kuzisambaza picha zilizokuwa zikiwaonyesha wapo Miami, Marekani kwenye utengenezaji wa video ya ngoma mpya. Kwa haraka hatukuweza kutambua nani alikua masta wa mchezo huo, Hatimaye video imetoka na mzigo unaenda kwa jina "Summer Boy" Olamide akiwa amesimamia mpango mzima huku Davido akila shavu la verse ya kibabe,
Kwenye Audio Producer Pheelz amehusika upande wa Video ni Director  Joe Yung Spike:

Enjoy Nayo Hapa:Davido Na Wizkid Walivyoliamsha Dude Rapa Future Na Cristiano Ronaldo Wamehusika:

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.