The Hills Ya The Weekend Imekua Platinum Certified Mara 9


"The Hills" ambayo muimbaji The Weekend aliwahi kutamba nayo mwaka 2015 imekua  Platinum Certified kwa mara ya 9 sasa. Well, inaonyesha ni jinsi gani imekua ni ngoma yenye mafanikio ya haraka ukilinganisha na ngoma nyingine zilizoachiwa msimu wa 2015-17.
 
A post shared by DJ Akademiks (@akadmiks) on

RIA ambayo imekua ikifanya Certification ya ngoma zinaofanya poa wamempongeza The Weekend na ngoma yake "The Hills" ambayo imebakiza hatua chache kufikia viwango vya Diamond Certfication. 

 The Weeknd - The Hills (Official Music Video)


No comments