Video Ya Linnah Alipoenda Kujifungua Mtoto Wake Wa Kwanza


Bongofleva Diva product ya Iringa Town hapa namzungumzia Miss Linnah Sanga sasa anafahamika kama mama wa mtoto mmoja.

Taarifa za kujifungua kwake zilianza kusambaa kwenye mitandao July 25, Meneja wa msanii huyo amethibitisha hilo kwa kusema ni kweli Asubuhi ya July 25 Linnah alifanikiwa kujifungua salama mtoto wa kike ambae bado hajapewa jina.

Sasa Baada ya masaa kadhaa kupita kuna wale wazee wa kunyapianyapia walifanikiwa kutupenyezea Video Clip ya Linnah alipokua akipelekwa kwenye chumba cha kujifungulia, Haki utamuonea huruma.

Cheki Hapa:

   

MP3Magazine inaungana na mashabiki wa Linnah na Team bongoflava kwa ujumla kumpongeza na kumuombea Kheri Linnah kwa kufungua ukurasa mwingine wa maisha yake.

No comments