Wateja Wafurahishwa Na #TecnoDude Inavyowasha Kitaa


Wateja mbali mbali wakifurahia sim mpya kutoka Tecno Toleo liitwalo ” Wx3Lte” yenye uwezo mkubwa wa 4g, camera na memory ya kutosha, sim hii ni maarufu kwa jina la “TecnoDude” inapatikana maduka yote ya Vodacom nchini #tecnodude #tecnowashadude