Wizkid Ayo - Sound From The Other Side (New Album)Siku mbili kabla hajasherehekea siku yake ya kuzaliwa leo Julai 14 muimbaji Mnaijeria Wizkid ameidropisha Albamu yake "Sound From The Other Side" kama alivyoahidi.


Kwenye mitandao na blogs kibao Afrika stori kubwa ya leo ni ujio wa Albamu hiyo ambayo licha ya kuupigania muziki wa Afrika Wizkid ametoa nafasi ya muafrika Bucie pekee aliyehusika kwenye ngoma All For Love.

Kwenye Albamu hiyo kuna jumla ya ngoma nane ambazo Drake, Major Lazer, Ty $ign, Chris Brown na Trey Songz wamepata mashavu.

 STREAM HAPA:

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.