Young Killer Msodoki Ft. Harmonize - Unaionaje (Official Music Video)
Finally the wait is over, Kama alivyoahidi Diamond Platnumz kuwa kuna ngoma ya Young Killer na Harmonize, "UNAIONAJE" ndio jina la ngoma, Mdundo wa Producer MR T-TOUCH.

 Unaweza kujiuliza ni vitu gani Young Killer na Harmonize wanakuambia nini?, It's all about hustle na maisha ya kawaida kabisa. Kwa mujibu wa mashairi yake,Young Killer hajawasahau Haters wake pia kawachana bila kuwataja wazi wazi Kama anavyosikika hapa "Sihofii wanafiki na chuki za binadamu na maneno sio trafic kwahiyo hayanisimamishi kwenye jam"

 Kwenye video wanaonekana only Young Killer, Harmonize na Bebez Wakali huku Chibu Perfume nayo ikipata chance ya kuuza sura kwenye video hii.

Cheki Na Hii Video Hapa Halafu Tuachie Maoni Yako: