Heri Muziki Anaizungumziaje WCB?, Kolabo Na Wabongo, Mahusiano Yake Na @Divathebawse

Wakati anaingia kwenye Game ya Bongofleva mashabiki walihukumu kuanzia muonekano mpaka aina ya uimbaji na ile aliyokuwa akiitumia Ben Pol, Taaratibu Heri Muziki akaanza kujikusanyia kundi la mashabiki kutoka kona mbalimbali za TZ mara baada ya kuiachia hitsong "Nakukumbukaga"

 Kwenye SmartPhone ya SeeTheAfricanTV Heri amefungukia mishe kadhaa zikiwemo kufananishwa na Ben Pol, Kipaji chake kilipoanzia na pia mahusiano yake na Mtangazaji Diva wa Clouds FM. Heri Muziki Kwa sasa anafanya poa na ngoma yake "Sweet Love" ambayo kwa namna moja ama nyingine imechangia kumrudisha kwenye game baada ya ukimya wa muda mrefu...
Heri Muziki - Sweet Love (Official Video)

No comments

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.